NorZah Designs

Mtengenezaji wa Kadi za Harusi

📊 Dashibodi ya SMS
Jaza Fomu
2
Angalia Kadi
3
Tuma au Pakua
Imehifadhiwa ✓

Taarifa za Sherehe

Jaza fomu hii kwa Kiswahili ili kutengeneza kadi yako ya mwaliko wa harusi.

Wima (Portrait)
Lalo (Landscape)

1. Mwalikwa & Waandaaji (Waalikaji)

Ukiacha wazi, kadi itabaki na nukta ya kuandika kwa mkono.

Pakua kiolezo au weka faili lenye safu: S/N, Jina, Simu.

2. Taarifa za Maharusi

3. Maelezo ya Michango & Malipo

4. Mawasiliano / Kamati Kuu

Uhakiki wa Moja kwa Moja (Live Preview)
Inavyoonekana hapa ndivyo itakavyopakuliwa
Umoja na Upendo

MWALIKO WA HARUSI

Ndugu, Jamaa na Rafiki

Inayo heshima kubwa,

Familia ya Bw. & Bibi John Nchwali

ya Ipagala - Dodoma

inayo heshima kubwa kukualika wewe mpendwa wetu:

Mhe./Prof./Dkt./Bw&Bibi/ ..................................

Kwenye sherehe ya ndoa ya watoto wao wapendwa:

Bright Mujulizi & Mercy Joel

Jumamosi, 22 Agosti 2026
Kanisa la KKKT Ipagala, mjini Dodoma
Maelezo ya Mchango

Michango itumwe kupitia: M-PESA kwenda Jina: Mercy Joel Nchwali, Namba: 0754123456

Mwisho wa kupokea michango: Jumatatu, 10 Agosti 2026

Kamati ya Mawasiliano
Bw. John Joel (Mwenyekiti): 0754123456Bi. Mercy Nchwali (Mhazini): 0712345678Bw. George Nchwali (Mhazini): 0754413117

*** KARIBUNI SANA SHANGAZI NA MJOMBA ***

Utoaji na Ushiriki (Actions)

Pakua kadi yako au ushiriki moja kwa moja na waalikwa.

Mwaliko wa Haraka kupitia WhatsApp

* Kitufe hiki kitafungua mazungumzo ya WhatsApp na kutuma ujumbe uliotengenezwa tayari kwa Kiswahili.